RORYA HARDWARE ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya ujenzi, mabomba, nondo, sementi, rangi, vifaa vya umeme na bidhaa nyingine nyingi za ujenzi. Tunahudumia wateja wa rejareja na jumla kwa bei nafuu na bidhaa za ubora wa juu.
Tembelea tawi lolote la RORYA HARDWARE au wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu ofa na bei za sasa za bidhaa.